Surat Az-Zukhruf, aya 68

43:68

يَٰعِبَادِ لَا خَوۡفٌ عَلَيۡكُمُ ٱلۡيَوۡمَ وَلَآ أَنتُمۡ تَحۡزَنُونَ ٦٨

Yā'ibādi lā khawfun 'alaykumul-yawma walā antum tahzanūn

Enyi waja wangu! Hamtakuwa na khofu siku hiyo, wala hamtahuzunika. 68

Maelezo ya chini

68 Mwenyezi Mungu atawaambia wachamngu kwa kuwafanyia hishima: Enyi waja wangu! Leo msikhofu adhabu yoyote, wala msihuzunike. Mmekwisha salimika na adhabu. Na Mwenyezi Mungu amekudhaminieni thawabu.