ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ بِـَٔايَٰتِنَا وَكَانُواْ مُسۡلِمِينَ ٦٩
Alladhīna āmanū bi'āyātinā wakānū muslimīn
Ambao waliziamini Ishara zangu na walikuwa Waislamu. 69
Maelezo ya chini
69 Walio ziamini Ishara za Mwenyezi Mungu na wakamt'ii Yeye, na wakawa wanamnyenyekea.