Surat Az-Zukhruf, aya 67

43:67

ٱلۡأَخِلَّآءُ يَوۡمَئِذِۭ بَعۡضُهُمۡ لِبَعۡضٍ عَدُوٌّ إِلَّا ٱلۡمُتَّقِينَ ٦٧

Al-akhillā'u yawma'idhi ba'duhum liba'din 'aduwwun illal-muttaqīn

Siku hiyo marafiki watakuwa ni maadui, wao kwa wao, isipo kuwa wachamngu. 67

Maelezo ya chini

67 Marafiki walio kusanyika duniani kwa upotovu, watakuwa maadui wao kwa wao siku itakapo wafikia Saa kwa ghafla, na yatakatika mapenzi yote, ila mapenzi ya wenye kuogopa, nao wangali duniani, kuiogopa adhabu ya Mwenyezi Mungu, na wakashikamana huko duniani katika kumt'ii Yeye.