Surat Az-Zukhruf, aya 55

43:55

فَلَمَّآ ءَاسَفُونَا ٱنتَقَمۡنَا مِنۡهُمۡ فَأَغۡرَقۡنَٰهُمۡ أَجۡمَعِينَ ٥٥

Falammā āsafūnantaqamnā minhum fa aghraqnāhum ajma'īn

Walipo tukasirisha tuliwapatiliza tukawazamisha wote! 55

Maelezo ya chini

55 Basi walipo tughadhibisha hadi ya kutughadhibisha, kwa kupita kwao mipaka ya ufisadi, tuliwaangamiza kwa kuwazamisha wote.