Surat Az-Zukhruf, aya 50

43:50

فَلَمَّا كَشَفۡنَا عَنۡهُمُ ٱلۡعَذَابَ إِذَا هُمۡ يَنكُثُونَ ٥٠

Falammā kashafnā 'anhumul-'adhāba idhā hum yankuthūn

Basi tulipo waondolea adhabu hiyo, mara wakaingia kuvunja ahadi. 50

Maelezo ya chini

50 Mwenyezi Mungu alipo waondolea masaibu yale kwa kuitikia dua za Musa, wakamshitukia kwa kuvunja ile ahadi yao ya kuamini.