Surat Az-Zukhruf, aya 41

43:41

فَإِمَّا نَذۡهَبَنَّ بِكَ فَإِنَّا مِنۡهُم مُّنتَقِمُونَ ٤١

Fa immā nadhhabanna bika fa innā minhum muntaqimūn

Na hata tukikuondoa, Sisi tutalipiza kisasi chetu kwao. 41

Maelezo ya chini

41 Basi tukikushika tukakufisha kabla hatuja kuonyesha adhabu yao, na kifua chako kikatua kwa hayo, na pia vifua vya Waumini, alaa kulli hali, Sisi bila ya shaka tutawaadhibu duniani na Akhera.