Surat Az-Zukhruf, aya 42

43:42

أَوۡ نُرِيَنَّكَ ٱلَّذِي وَعَدۡنَٰهُمۡ فَإِنَّا عَلَيۡهِم مُّقۡتَدِرُونَ ٤٢

Aw nuriyannakal-ladhī wa'adnāhum fa innā 'alayhim muqtadirūn

Au tutakuonyesha tulio waahidi. Nasi bila ya shaka tuna uweza juu yao. 42

Maelezo ya chini

42 Au unataka tukuonyeshe adhabu tuliyo waahidi kabla ya kufa kwako, tutakuonyesha, kwani Sisi tunawaweza hao kwa uweza wetu na nguvu zetu.