Surat Az-Zukhruf, aya 37

43:37

وَإِنَّهُمۡ لَيَصُدُّونَهُمۡ عَنِ ٱلسَّبِيلِ وَيَحۡسَبُونَ أَنَّهُم مُّهۡتَدُونَ ٣٧

Wa innahum layasuddūnahum 'anis-sabīli wayahsabūna annahum muhtadūn

Na hakika wao wanawazuilia Njia na wenyewe wanadhani kuwa wameongoka. 37

Maelezo ya chini

37 Na hakika Mashetani wanao jitia upofu na Qur'ani huwazuia na Njia anayo itia Rahmani. Na hao wanao tumiliwa wanadhani kwa kuwafuata rafiki zao kwamba wao wamo katika uwongofu.