Surat Az-Zukhruf, aya 25

43:25

فَٱنتَقَمۡنَا مِنۡهُمۡۖ فَٱنظُرۡ كَيۡفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلۡمُكَذِّبِينَ ٢٥

Fantaqamnā minhum fanzur kayfa kāna 'āqibatul-mukaddhibīn

Basi tukawalipizia. Angalia ulikuwaje mwisho wa walio kadhibisha! 25

Maelezo ya chini

25 Basi tukawatesa walio wakadhibisha Mitume wao kwa mateso makali katika dunia. Basi hebu angalia, ewe mwenye kuzingatia, vipi ulikuwa mwisho wa wenye kukukadhibisheni kuwa ni mfano wa ajabu, na mawaidha makubwa!