Surat Az-Zukhruf, aya 24

43:24

۞ قَٰلَ أَوَلَوۡ جِئۡتُكُم بِأَهۡدَىٰ مِمَّا وَجَدتُّمۡ عَلَيۡهِ ءَابَآءَكُمۡۖ قَالُوٓاْ إِنَّا بِمَآ أُرۡسِلۡتُم بِهِۦ كَٰفِرُونَ ٢٤

Qāla awalaw ji'tukum bi ahdā mimmā wajattum 'alayhi ābā'akum qālū innā bimā ursiltum bihī kāfirūn

Akasema (Mwonyaji): Hata nikikuleteeni yenye uwongofu bora kuliko mlio wakuta nao baba zenu? Wakasema: Sisi tunayakataa tu hayo mliyo tumwa. 24

Maelezo ya chini

24 Mwonyaji akasema: Je! Mnafuata baba zenu hata nikikujieni na yaliyo elekea zaidi kukupelekeni kwenye uwongofu kuliko mlio wakuta nao baba zenu? Wakasema kuwajibu Mitume wao wakiwakadhibisha kwa Dini: Sisi tunayakataa yote mliyo tumwa kutuambia!