Surat Al-A'la, aya 1

87:1

سَبِّحِ ٱسۡمَ رَبِّكَ ٱلۡأَعۡلَى ١

Sabbihisma rabbikal-a'lā

Litakase jina la Mola wako Mlezi aliye juu kabisa! 1

Maelezo ya chini

1 Litakase jina la Mola wako Mlezi lilio tukufu na kila kitu kisicho kuwa kinaelekeana nalo.