Surat At-Takwir, aya 5

81:5

وَإِذَا ٱلۡوُحُوشُ حُشِرَتۡ ٥

Wa idhal-wuhūshu hushirat

Na wanyama wa mwituni wakakusanywa! 5

Maelezo ya chini

5 Na nyama mwitu wakusanywe kutoka vichakani mwao na mashimoni mwao, hawajijui hawajitambui kwa wingi wa kufazaika.