Surat Ash-Shura, aya 53

42:53

صِرَٰطِ ٱللَّهِ ٱلَّذِي لَهُۥ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِۗ أَلَآ إِلَى ٱللَّهِ تَصِيرُ ٱلۡأُمُورُ ٥٣

Sirātillāhil-ladhī lahū mā fis-samāwāti wamā fil-ardi alā ilallāhi tasīrul-umūr

Njia ya Mwenyezi Mungu ambaye ni vyake Yeye tu viliomo mbinguni na katika ardhi. Jueni kuwa mambo yote yanarudi kwa Mwenyezi Mungu. 53

Maelezo ya chini

53 Njia ya Dini ya Mwenyezi Mungu ambaye ndiyo vyake Yeye tu peke yake, vyote viliomo mbinguni na katika ardhi, kwa kuumba, na kupanga, na kuendesha. Naye ananabihisha, Subhanahu, kwamba kwake Yeye peke yake ndio yanarejea mambo yote.