إِنَّمَا ٱلسَّبِيلُ عَلَى ٱلَّذِينَ يَظۡلِمُونَ ٱلنَّاسَ وَيَبۡغُونَ فِي ٱلۡأَرۡضِ بِغَيۡرِ ٱلۡحَقِّۚ أُوْلَٰٓئِكَ لَهُمۡ عَذَابٌ أَلِيمٞ ٤٢
Innamas-sabīlu 'alal-ladhīna yazlimūnan-nāsa wayabghūna fil-ardi bighayril-haqqi ulā'ika lahum 'adhābun alīm
Bali lawama ipo kwa wale wanao wadhulumu watu, na wanafanya jeuri katika nchi bila ya haki. Hao watapata adhabu iliyo chungu. 42
Maelezo ya chini
42 Bali lawama na kushikwa haki ni juu ya wanao fanya uadui, wakadhulumu watu, na wakafanya kiburi katika nchi, na wakafisidi humo bila ya haki. Hao watapata adhabu yenye uchungu mkali.