Surat Ash-Shura, aya 41

42:41

وَلَمَنِ ٱنتَصَرَ بَعۡدَ ظُلۡمِهِۦ فَأُوْلَٰٓئِكَ مَا عَلَيۡهِم مِّن سَبِيلٍ ٤١

Walamanintasara ba'da zulmihī fa ulā'ika mā 'alayhim min sabīl

Na wanao jitetea baada ya kudhulumiwa, hao hapana njia ya kuwalaumu. 41

Maelezo ya chini

41 Hakika wanao wapa adhabu wavamizi kama wanavyo fanya uadui wao, hao hawaingiliwi wala hawalaumiwi.