وَٱلَّذِينَ إِذَآ أَصَابَهُمُ ٱلۡبَغۡيُ هُمۡ يَنتَصِرُونَ ٣٩
Walladhīna idhā asābahumul-baghyu hum yantasirūn
Na ambao wanapo fanyiwa jeuri hujitetea. 39
Maelezo ya chini
39 Na wale ambao anapo wavamia mwenye kudhulumu wao wanajitetea nafsi zao kuupinga ule uvamizi wake.