Surat Ash-Shura, aya 37

42:37

وَٱلَّذِينَ يَجۡتَنِبُونَ كَبَٰٓئِرَ ٱلۡإِثۡمِ وَٱلۡفَوَٰحِشَ وَإِذَا مَا غَضِبُواْ هُمۡ يَغۡفِرُونَ ٣٧

Walladhīna yajtanibūna kabā'iral-ithmi wal-fawāhisha wa idhā mā ghadibū hum yaghfirūn

Na wanayo yaepuka madhambi makubwa na mambo machafu, na wanapo kasirika wao husamehe, 37

Maelezo ya chini

37 Na wanao jitenga mbali na kupanda madhambi makubwa makubwa aliyo yakataza Mwenyezi Mungu, na madhambi yote yaliyo zidi ubaya, na pindi wakichochewa kwa kufanyiwa mabaya katika mambo ya dunia yao, wao wenyewe wakawa mbele kuanza kusamehe ili kuleta masikilizano;