۞ وَلَوۡ بَسَطَ ٱللَّهُ ٱلرِّزۡقَ لِعِبَادِهِۦ لَبَغَوۡاْ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَلَٰكِن يُنَزِّلُ بِقَدَرٖ مَّا يَشَآءُۚ إِنَّهُۥ بِعِبَادِهِۦ خَبِيرُۢ بَصِيرٞ ٢٧
Walaw basatallāhur-rizqa li'ibādihī labaghaw fil-ardi walākin yunazzilu biqadarim mā yashā'u innahū bi'ibādihī khabīru basīr
Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli wakunjulia riziki waja wake, basi bila ya shaka wangeli panda kiburi katika dunia. Lakini anaiteremsha kwa kipimo akitakacho. Hakika Yeye anawajua vyema waja wake na anawaona. 27
Maelezo ya chini
27 Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli wakunjulia waja wake wote, kama watakavyo, basi bila ya shaka wangeli panda kiburi katika ardhi wakafanya dhulma. Lakini Mwenyezi Mungu humkunjulia riziki amtakaye, na humdhikisha amtakaye, kwa mujibu wa hikima yake. Hakika Mwenyezi Mungu anayajua vyema mambo yote ya waja wake, ya siri na dhaahiri. Basi Yeye humkadiria kila mmoja kwa linalo msilihi kwa mujibu wa hikima yake.