Surat Ash-Shu'ara, aya 96

26:96

قَالُواْ وَهُمۡ فِيهَا يَخۡتَصِمُونَ ٩٦

Qālū wahum fīhā yakhtasimūn

Watasema, na hali ya kuwa wanazozana humo: 96

Maelezo ya chini

96 Watasema huku wakiungama makosa yao, na huku wanagombana na miungu yao waliyo kuwa wakiiabudu: