Surat Ash-Shu'ara, aya 95

26:95

وَجُنُودُ إِبۡلِيسَ أَجۡمَعُونَ ٩٥

Wajunūdu iblīsa ajma'ūn

Na majeshi ya Ibilisi yote. 95

Maelezo ya chini

95 Na pamoja nao watakuwapo wasaidizi wa Ibilisi walio kuwa wakiwapambia shari na madhambi, au wale watu na majini walio wakiwafuata katika maasi.