فَكُبۡكِبُواْ فِيهَا هُمۡ وَٱلۡغَاوُۥنَ ٩٤
Fakubkibū fīhā hum wal-ghāwūn
Basi watavurumizwa humo wao na hao wakosefu, 94
Maelezo ya chini
94 Watatumbukizwa katika Jahannamu kifudifudi, wakipinduliwa pinduliwa mpaka waishie ndani kabisa shimoni, wao na walio wapoteza na wakawatia katika madhambi na upotovu.