إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗۖ وَمَا كَانَ أَكۡثَرُهُم مُّؤۡمِنِينَ ٨
Inna fī dhālika la'āyatan wamā kāna aktharuhum mu'minīn
Hakika katika haya zipo Ishara. Lakini wengi wao hawakuwa wenye kuamini. 8
Maelezo ya chini
8 Hakika katika kutoka kwa hii mimea ni dalili kubwa ya kuwepo Muumba Muweza. Lakini wengi wa watu si wenye kuamini.