Surat Ash-Shu'ara, aya 9

26:9

وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ٩

Wa inna rabbaka lahuwal-'azīzur-rahīm

Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Yeye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu. 9

Maelezo ya chini

9 Hakika Mwenye kumiliki mambo yako, na Mwenye kukulinda, ndiye atakaye waadhibu hao wanao kadhibisha, na ndiye Mwenye kuwafadhili Waumini kwa rehema.