Surat Ash-Shu'ara, aya 72

26:72

قَالَ هَلۡ يَسۡمَعُونَكُمۡ إِذۡ تَدۡعُونَ ٧٢

Qāla hal yasma'ūnakum idh tad'ūn

Akasema: Je! Yanakusikieni mnapo yaita? 72

Maelezo ya chini

72 Ibrahim akasema: Kwani yanasikia madua yenu? Au yanakuitikieni mnapo yaomba? Kwa hayo anakusudia kuwanabihisha upotovu wa mwendo wao.