وَكُنُوزٖ وَمَقَامٖ كَرِيمٖ ٥٨
Wakunūzin wamaqāmin karīm
Na makhazina, na vyeo vya hishima, 58
Maelezo ya chini
58 Tukawatoa, kadhaalika, kwenye khazina za dhahabu na fedha, na majumba waliyo kuwa wakiyakalia, wakineemeka kwa uzuri wake na ubora wa starehe zake.