Surat Ash-Shu'ara, aya 56

26:56

وَإِنَّا لَجَمِيعٌ حَٰذِرُونَ ٥٦

Wa innā lajamī'un hādhirūn

Na sisi ni wengi, wenye kuchukua hadhari. 56

Maelezo ya chini

56 Na sisi ni wengi. Miongoni mwa ada zetu ni kuchukua hadhari, na kuwa macho, na kupania.