وَإِنَّهُمۡ لَنَا لَغَآئِظُونَ ٥٥
Wa innahum lanā laghā'izūn
Nao wanatuudhi. 55
Maelezo ya chini
55 Na wao juu ya hivyo, wanatutibua roho kwa kuvunja amri yetu na kutoka bila ya idhini yetu.
وَإِنَّهُمۡ لَنَا لَغَآئِظُونَ ٥٥
Wa innahum lanā laghā'izūn
Nao wanatuudhi. 55
55 Na wao juu ya hivyo, wanatutibua roho kwa kuvunja amri yetu na kutoka bila ya idhini yetu.