إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ لَشِرۡذِمَةٞ قَلِيلُونَ ٥٤
Inna hā'ulā'i lashirdhimatun qalīlūn
(Wakieneza): Hakika hawa ni kikundi kidogo. 54
Maelezo ya chini
54 Firauni akasema: Hakika hawa Wana wa Israili walio kimbia na Musa ni taifa dogo kwa nguvu zao. Idadi yao ni chache. Anasema hayo kutia mori katika nyoyo za askari wake.