Surat Ash-Shu'ara, aya 53

26:53

فَأَرۡسَلَ فِرۡعَوۡنُ فِي ٱلۡمَدَآئِنِ حَٰشِرِينَ ٥٣

Fa arsala fir'awnu fil-madā'ini hāshirīn

Basi Firauni akawatuma mijini wapiga mbiu za mgambo. 53

Maelezo ya chini

53 Firauni akawatuma askari wake katika miji ya mamlaka yake, wawakusanye wenye maguvu katika kaumu yake, alipo jua kuwa Musa kesha toka na Wana wa Israili, ili awazuie lile walilo kusudia.