Surat Ash-Shu'ara, aya 47

26:47

قَالُوٓاْ ءَامَنَّا بِرَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ٤٧

Qālū āmannā birabbil-'ālamīn

Wakasema: Tunamuamini Mola Mlezi wa walimwengu wote. 47

Maelezo ya chini

47 Wakasema ili kutia mkazo kule kusujudu kwao kwa kauli yao: Tunamuamini Mola Mlezi wa walimwengu wote.