فَأُلۡقِيَ ٱلسَّحَرَةُ سَٰجِدِينَ ٤٦
Fa ulqiyas-saharatu sājidīn
Hapo wachawi walipinduka wakasujudu. 46
Maelezo ya chini
46 Wachawi wakaanguka wakasujudu kumsujudia Mwenyezi Mungu, walipo yakinika kuwa mambo ya Musa si uchawi.