Surat Ash-Shu'ara, aya 48

26:48

رَبِّ مُوسَىٰ وَهَٰرُونَ ٤٨

Rabbi mūsā wahārūn

Mola Mlezi wa Musa na Harun. 48

Maelezo ya chini

48 Na wakabainisha kuwa hakika Mola Mlezi wa walimwengu wote walio muamini ndiye: Mola Mlezi wa Musa na Harun.