Surat Ash-Shu'ara, aya 45

26:45

فَأَلۡقَىٰ مُوسَىٰ عَصَاهُ فَإِذَا هِيَ تَلۡقَفُ مَا يَأۡفِكُونَ ٤٥

Fa alqā mūsā 'asāhu fa idhā hiya talqafu mā ya'fikūn

Musa tena akatupa fimbo yake, nayo mara ikavimeza walivyo vizua. 45

Maelezo ya chini

45 Musa tena akatupa fimbo yake. Mara ikawa joka kubwa likaingia kuvimeza vile walivyo vizua kwa uchawi, navyo ni kamba na fimbo, wakidanganya kuwa ni nyoka wanao kwenda.