Surat Ash-Shu'ara, aya 39

26:39

وَقِيلَ لِلنَّاسِ هَلۡ أَنتُم مُّجۡتَمِعُونَ ٣٩

Waqīla lin-nāsi hal antum mujtami'ūn

Na watu wakaambiwa: Je! Mtakusanyika? 39

Maelezo ya chini

39 Na watu wakahimizana kuhudhuria siku hiyo waone ramsa wakiambizana: Mtakusanyika? Yaani ndio: Mkusanyike!