فَجُمِعَ ٱلسَّحَرَةُ لِمِيقَٰتِ يَوۡمٖ مَّعۡلُومٖ ٣٨
Fajumi'as-saharatu limīqāti yawmim ma'lūm
Basi wakakusanywa wachawi wakati na siku maalumu. 38
Maelezo ya chini
38 Wakakusanywa wachawi kutoka kila upande wa nchi. Wakawekewa wakati wa mchana siku ya Sikukuu kukutana na Musa.