لَعَلَّنَا نَتَّبِعُ ٱلسَّحَرَةَ إِن كَانُواْ هُمُ ٱلۡغَٰلِبِينَ ٤٠
La'allanā nattabi'us-saharata in kānū humul-ghālibīn
Huenda tutawafuata wachawi wakiwa wao ndio watakao shinda. 40
Maelezo ya chini
40 Wakatangaza matarajio yao ya kushinda wachawi, ili wapate kuthibiti katika dini yao, na pia ndio kampeni ya nguvu na juhudi apate kushindwa Musa.