يَأۡتُوكَ بِكُلِّ سَحَّارٍ عَلِيمٖ ٣٧
Ya'tūka bikulli sahhārin 'alīm
Wakuletee kila mchawi bingwa mtaalamu. 37
Maelezo ya chini
37 Watakuletea wengi, na wote wamebobea kwa uchawi, na wamemshinda Musa kwa ufundi na ustadi. Wamekusudia kwa haya kumpunguzia dukuduku lake Firauni.