Surat Ash-Shu'ara, aya 36

26:36

قَالُوٓاْ أَرۡجِهۡ وَأَخَاهُ وَٱبۡعَثۡ فِي ٱلۡمَدَآئِنِ حَٰشِرِينَ ٣٦

Qālū arjih wa akhāhu wab'ath fil-madā'ini hāshirīn

Wakasema: Mpe muda yeye na nduguye na uwatume mijini wapigao mbiu ya mgambo. 36

Maelezo ya chini

36 Watu wake wakamwambia: Akhirisha kukata shauri yao hawa, na uwatume askari wende wawakusanye wachawi katika raia zako. Kwani uchawi hupingwa kwa uchawi.