Surat Ash-Shu'ara, aya 32

26:32

فَأَلۡقَىٰ عَصَاهُ فَإِذَا هِيَ ثُعۡبَانٞ مُّبِينٞ ٣٢

Fa alqā 'asāhu fa idhā hiya thu'bānum mubīn

Basi akaitupa fimbo yake, mara ikawa nyoka wa kuonekana dhaahiri. 32

Maelezo ya chini

32 Musa akaitupa fimbo yake mbele yao. Ikageuka nyoka kweli kweli, si kitu cha uwongo cha uchawi kinacho fanana na nyoka.