Surat Ash-Shu'ara, aya 31

26:31

قَالَ فَأۡتِ بِهِۦٓ إِن كُنتَ مِنَ ٱلصَّٰدِقِينَ ٣١

Qāla fa ti bihī in kunta minas-sādiqīn

Akasema: Kilete basi, kama wewe ni katika wasemao kweli. 31

Maelezo ya chini

31 Firauni akasema: Ulete ushahidi utao onyesha Unabii wako kama wewe kweli unasema kweli katika wito wako. Kasema hayo kwa tamaa ya kuwa huenda akapata kipengee cha udhaifu katika hoja zake.