وَنَزَعَ يَدَهُۥ فَإِذَا هِيَ بَيۡضَآءُ لِلنَّٰظِرِينَ ٣٣
Wanaza'a yadahū fa idhā hiya baydā'u lin-nāzirīn
Na akautoa mkono wake, na mara ukawa mweupe kwa watazamao. 33
Maelezo ya chini
33 Musa akautoa mkono wake kutoka mfukoni mwake. Hiyo ni Ishara ya pili. Nao ukawa mweupe, bila ya maradhi, hata wakashangaa watazamaji kwa kumetuka kwake.