Surat Ash-Shu'ara, aya 30

26:30

قَالَ أَوَلَوۡ جِئۡتُكَ بِشَيۡءٖ مُّبِينٖ ٣٠

Qāla awalaw ji'tuka bishay'im mubīn

Akasema: Je! Ijapo kuwa nitakuletea kitu cha kubainisha wazi? 30

Maelezo ya chini

30 Musa akasema kwa upole kwa kutumai asaa akaamini: Utanitia gerezani hata nikikuletea ushahidi mkubwa wa ukweli wa haya niyasemayo?