يُلۡقُونَ ٱلسَّمۡعَ وَأَكۡثَرُهُمۡ كَٰذِبُونَ ٢٢٣
Yulqūnas-sam'a wa aktharuhum kādhibūn
Wanawapelekea yale wanayo yasikia; na wengi wao ni waongo. 223
Maelezo ya chini
223 Hao hutega masikio yao kwa Mashetani, na kwao wakapata mambo ya dhana dhana tu. Na wengi wao ni waongo, na huzidisha tena juu ya kauli walizo zipata kwa Mashetani.