هَلۡ أُنَبِّئُكُمۡ عَلَىٰ مَن تَنَزَّلُ ٱلشَّيَٰطِينُ ٢٢١
Hal unabbi'ukum 'alā man tanazzalush-shayātīn
Je! Nikwambieni nani wanawashukia Mashet'ani? 221
Maelezo ya chini
221 Washirikina walisema: Mashetani ndio wanamsomea Qur'ani Muhammad. Qur'ani ikawajibu: Nikupeni khabari watu gani Mashetani ndio wanawateremkia, na wakawashawishi?