وَتَوَكَّلۡ عَلَى ٱلۡعَزِيزِ ٱلرَّحِيمِ ٢١٧
Watawakkal 'alal-'azīzir-rahīm
Na umtegemee Mtukufu Mwenye nguvu Mwenye kurehemu. 217
Maelezo ya chini
217 Na tegemeza mambo yako kwa Mwenye nguvu, Mwenye uweza wa kuwatenda nguvu adui zako kwa utukufu wake, na kukunusuru wewe na kumnusuru kila mwenye kufanya a'mali yake kwa usafi wa niya.