Surat Ash-Shu'ara, aya 211

26:211

وَمَا يَنۢبَغِي لَهُمۡ وَمَا يَسۡتَطِيعُونَ ٢١١

Wamā yambaghī lahum wamā yastatī'ūn

Wala haitakiwi kwao, na wala hawawezi. 211

Maelezo ya chini

211 Wala haiwafalii wao kuiteremsha, na hawawezi kufanya hivyo.