Surat Ash-Shu'ara, aya 212

26:212

إِنَّهُمۡ عَنِ ٱلسَّمۡعِ لَمَعۡزُولُونَ ٢١٢

Innahum 'anis-sam'i lama'zūlūn

Hakika hao wametengwa na kusikia. 212

Maelezo ya chini

212 Kwani hao hakika wanazuiwa wasiisikie Qur'ani pale inapo funuliwa kwa Muhammad s.a.w.