فَيَقُولُواْ هَلۡ نَحۡنُ مُنظَرُونَ ٢٠٣
Fayaqūlū hal nahnu munzarūn
Na watasema: Je, tutapewa muhula?. 203
Maelezo ya chini
203 Watasema itapo teremka hiyo adhabu: Je, tutapewa muhula? Haya ni kwa majuto kwa kupitiwa na Imani na kutaka waakhirishiwe adhabu. Lakini hawajibiwi.