Surat Ash-Shu'ara, aya 20

26:20

قَالَ فَعَلۡتُهَآ إِذٗا وَأَنَا۠ مِنَ ٱلضَّآلِّينَ ٢٠

Qāla fa'altuhā idhan wa ana minad-dāllīn

(Musa) akasema: Nilitenda hayo hapo nilipo kuwa miongoni mwa wale walio potea. 20

Maelezo ya chini

20 Musa akasema: Niliyafanya uliyo yataja kwa kutojua yanayo faa kutambulikana kwa akili nayo ni jambo la kuuwa. Basi hapana masimbulizi juu yangu.