إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗۖ وَمَا كَانَ أَكۡثَرُهُم مُّؤۡمِنِينَ ١٩٠
Inna fī dhālika la'āyatan wamā kāna aktharuhum mu'minīn
Hakika katika hayo ipo Ishara, lakini hawakuwa wengi wao wenye kuamini. 190
Maelezo ya chini
190 Hakika adhabu iliyo wateremkia watu wa Machakani kuwa ni malipo ya uasi wao, ni dalili ya ukamilifu wa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Na hawakuwa wengi wa watu wako wenye kusadiki.